Sugu
Huwezi kusikiliza tena

Wanamuziki wanaojiingiza kwenye siasa

Baada ya muhula wa kwanza wa nafasi ya Ubunge kumalizika kwa mwanamuziki wa miondoko ya Hip Hop Tanzania Joseph Mbilinyi, sasa anatafuta awamu ya pili, wakati ambapo wasanii mashuhuri nichini Tanzania kama vile Prof Jay na msanii wa vichekesho Kigwendu pia wamejitosa kwenye ulingo wa siasa.

Kufahamu inakuwaje wasanii wakajitosa kwenye siasa, Mwenzangu Zuhura Yunus alizunguza na Mr Sugu.