Je,vijana wanasemaje kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Je,vijana wanasemaje kuhusu uchaguzi TZ?

Tangu Salim Kikeke kuwasili Tanzania amekuwa akipita katika mitaa mbalimbali kuzungumza na wananchi kuhusiana na na uchaguzi huu ambao una hamasa kubwa. Vijana ndio idadi kubwa kwenye uchaguzi huu, na aliingia mitaani na kuzungumza na baadhi yao.