Wanunua vyakula vya akiba Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Uchaguzi:Wanunua vyakula vya akiba Zanzibar

Na tuvuke hadi Zanzibar ambapo baadhi ya wakazi wa mji huo wameanza kununua na kuweka vyakula vya akiba ndani ya nyumba zao tayari kwa uchaguzi.Mwandishi wetu Aboubakar Famau ametembelea soko la Darajani mjini Unguja na kuandaa taarifa ifuatayo.