Lowassa
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamume ajaribu kumuigiza Lowassa

Kando na siasa, kumekuwepo na uigizaji wakati wa kampeni kama alivyoshuhudia mwandishi wa BBC Aboubakar Famau aliyeko Zanzibar. Bwana huyu alikuwa akimuigiza mgombea urais wa Chadema Edward Lowassa eneo la Maisara, Zanzibar wakati chama cha CUF kilichoko chini ya muungano wa Ukawa unaomuunga mkono Lowassa kilikuwa kinafanya mkutano wake wa mwisho wa kampeni. Alifanikiwa?