wasanii wavutiwa na siasa nchini Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Siasa zawavutia wasanii Tanzania

Kumekuwa na msisimko mkubwa miongoni mwa vijana kuhusu uchaguzi huo, na jambo moja ambalo limejitokeza ni namna wanasanii wanavyochangamkia siasa, na kugombea viti mbali mbali. Nilipokuwa nchini Tanzania karibuni nilidadisi kujua nini kinachowavutia wasanii kuingia katika siasa.