Maafisa wa polisi nchini Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Je,polisi wamejiandaa kivipi katika uchaguzi TZ?

Mpaka sasa hakujawa na visa vyovyote au vurugu wakati wa kampeni, lakini hamasa ni kubwa sasa kuelekea siku yenyewe ya upigaji kura. Awali nilizungumza na mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania Ernest Mangu