Waangalizi wa Uchaguzi wa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Waangalizi:Maandalizi ya uchaguzi TZ ni mazuri

Siku ya siku inazidi kujongea Watanzania kumchagua Rais mpya hapo Jumapili kesho kutwa. Waangalizi wa uchaguzi kutoka nchi za maziwa makuu wamesema maandalizi ya uchaguzi Tanzania yamekwenda vizuri isipokuwa dosari moja ndogo katika usawa kwenye vyombo vya habari. Ujumbe wa waangalizi hao wa ICGLR umesema ingekuwa vyema vyama vyote vya kisiasa vingepata muda sawa wa kuuza sera zao kwenye vyombo vya habari vya umma.