Mwanza
Huwezi kusikiliza tena

Maafisa wajiandaa kuhesabu kura Mwanza

Maafisa wa uchaguzi wanajiandaa kuanza kuhesabu kura mjini Mwanza. Masanduku yenye kura zilizopigwa yamekuwa yakiwasili katika kituo kikuu cha kuhesabia kura.

Mwandishi wa BBC Aboubakar Famau yuko Mwanza na ametuandalia taarifa hii.