Kailima
Huwezi kusikiliza tena

Mkurugenzi wa tume afafanua changamoto uchaguzini

Mkurugenzi wa Uchaguzi Tanzania Ramadhan Kailima amesimulia jinsi gari la tume lilivyotekwa na vifaa vya uchaguzi kuharibiwa eneo la Sumbawanga, mkoa wa Rukwa. Hiyo ni mota tu ya changamoto zilizoshuhudiwa wakati wa upigaji kura.