Konate
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke mjasiriamali anayeangazia chakula cha watoto

Marie Diongoye Konaté huendesha kampuni pekee ya uzalishaji wa chakula cha kiasili Ivory Coast, akitumia nafaka asilia.

Anajivunia kuzalisha chakula asilia, cha bei nafuu na chenye virutubishi tele ambacho kinaweza kutumiwa badala ya chakula cha watoto cha kuagizwa kutoka nje.

Yeye ni mmoja wa wanawake jasiri barani Afrika.