Matokeo ya zanzibar yafutwa
Huwezi kusikiliza tena

Sauti ya Salum Jecha akifuta matokeo Zanzibar

Matokeo ya uchaguzi kisiwani Zanzibar yamefutiliwa mbali.Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kisiwani humo Jecha Salum Jecha amesema kuwa uchaguzi huo haukuwa wa haki na kwamba kulikuwa na ukiukwaji wa sheria za uchaguzi.