Magufuli
Huwezi kusikiliza tena

Magufuli azuru Wizara ya Fedha

Rais mpya wa Tanzania John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza katika makao makuu ya Wizara ya Fedha siku moja tu baada yake kuapishwa.

Awali, amemlisha kiapo Mwanasheria Mkuu George Mcheche Masaju.