Barei Ali
Huwezi kusikiliza tena

Shida zinazokabili wanawake wakijifungua Mandera

Kaunti ya Mandera inayopatikana Kaskazini Mashariki mwa Keenya imetajwa kuwa mahala hatari zaidi ulimwenguni kwa mwanamke kujifungulia mtoto.

Takwimu zinaonyesha kwamba wanawake 3,900 hufariki dunia wakati wa kujifungua kati ya wanawake 100,000 wanaojifungua kwa njia salama

Mwandishi wetu Anne Soy alizuru eneo la Mandera kujionea hali ilivyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.