Huwezi kusikiliza tena

UN yalaani mauaji Burundi

Baraza la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio kulaani mauaji nchini Burundi na kutaka kupelekwa kwa kikosi cha kulinda amani.

Sikiliza mahojiano kati ya Halima nyanza na Khalid Hassan mchambuzi wa masuala ya siasa na usalama kutoka eneo la Maziwa Makuu akijibu kwanza uamuzi huu wa Umoja wa Mataifa jinsi ulivyopokelewa nchini Burundi.