Huwezi kusikiliza tena

Kenya yatangaza vita dhidi ya Rushwa

Rais Uhuru Kenyata ametangaza kuwa Rushwa ni tishio la usalama wa taifa.

Ameelezea sera mpya ya kukabiliana na ufisadi uliokithiri nchini humo. huku akiahidi kuvipa mamlaka mapya vyombo vya kukabiliana na ufisadi.

Sikiliza mahojiano kati ya Halima Nyanza na mtaalam wa masuala ya utawala Javas Bigambo kutoka Nairobi, kwanza akijibu swali mikakati iliyowekwa na Rais Kenyatta itafaa katika vita dhidi ya rushwa?.