Papa
Huwezi kusikiliza tena

Maelezo muhimu kuhusu Ukatoliki Afrika

Papa Francis ameanza ziara yake ya kwanza Afrika, ambapo atatembelea Kenya, Uganda na Jamhuri ya Afrika ya Kati. Ingawa idadi ya Wakatoliki inapungua maeneo mengine duniani, Afrika waumini wa kanisa hili wanaongezeka na kufikia sasa kuna waumini 200 milioni wa Kanisa Katoliki.

BBC inakupa maelezo muhimu kuhusu Ukatoliki Afrika kwa sekunde 60.