Huwezi kusikiliza tena

Rushwa,ufisadi kikwazo Afrika

Mkutano wa saba wa miji ya Afrika ulifunguliwa rasmi jumapili na Bw Jeff Khadebe waziri katika ofisi ya rais wa Afrika Kusini akitaja matatizo yanayokumba mataifa yalioko chini ya jangwa la Sahara ni kuwa ni pamoja na ukuaji wa miji.

Khalifa Sol kutoka Senegal alisema hii imetokana na mataifa mengi ya Afrika kukosa utawala bora huku rushwa na ufisadi ukikithiri katika halmashauri ya miji mingi ya Afrika .

Mwandishi wetu Omar Mutasa amezungumza na Bw Ambasa Elijah wa shirika la Transparency international