China
Huwezi kusikiliza tena

Wananchi Rwanda wachangamkia Kichina

Wakati nchi ya Uchina ikiimarishaushirikiano wake na nchi za Africa wananchi wa Rwanda tayari wamechangamkia kusoma lugha ya kichina kwa lengo kupanua uwezo wao kielimu na kibiashara.

Lugha ya kichina sasa inafundishwa katika baadhi ya shule za sekondari na baadhi ya vyuo vikuu.

Mwandishi wa BBC Yves Bucyana ametembelea shule moja ya sekondari kusini mwa Rwanda na kutuandalia taarifa ifuatayo.