Pistorius
Huwezi kusikiliza tena

Matukio makuu maisha ya Oscar Pistorius

Bingwa wa Olympiki mbio za walemavu Oscar Pistorius amepatikana na kosa la mauaji baada ya Mahakama ya Juu ya Rufaa Afrika Kusini kubatilisha uamuzi wa awali uliompata na hatia ya kuua bila kukusudia.

BBC inatathmini matukio makuu maishani mwake, kwa sekunde 60.