Naadiya
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke anayesaidia wasichana kuwa wahandisi

Naadiya Moosajee ni mhandisi ambaye baada ya kugundua wanawake wahandisi ni wachache sana alianzisha mpango wa kuwahimiza na kuwasaidia wanawake kuwa wahandisi.

Yeye ni mwanzilishi mwenza wa kikundi cha WomenEng ambacho huwapa wanawake ujuzi na ushauri wa kuwasaidia kufana katika fani ya uhandisi ambayo imekuwa ikitawaliwa na wanaume.