Uhuru Kenyatta William Ruto
Huwezi kusikiliza tena

Mjadala Kenya kuhusu ziara nyingi za rais

Baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuwahakikishia Wakenya kujitolea kwake kupunguza matumizi ya pesa katika serikali, maswali yameibuka kuhusu ziara zake nyingi za nje ya nchi zinazogharimu mlipa ushuru mamilioni ya pesa.

Ofisi ya Rais imetetea ziara za rais ikisema ni muhimu kwa uwekezaji na maslahi ya Wakenya.

Kutoka Nairobi, David Wafula anaarifu.