Congo
Huwezi kusikiliza tena

Mafuriko yasababisha maafa DR Congo

Nchini Jahmuri ya Kidemokrasia ya Congo katika mji wa Kinshasa, watu zaidi ya 20 wamefariki na nyumba kadhaa kujaa maji kutokana na mafuriko.

Hii ni baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadha mfululizo.

Mwandishi wa BBC Mbelechi Msoshi alituandalia taarifa hii kutoka Kinshasa.