Kufagia mji
Huwezi kusikiliza tena

Usafi utaendelezwa Tanzania?

Leo Watanzania wengi wamejitokeza kufanya usafi kufuatia agizo la Rais John Pombe Magufuli kwamba Siku ya Uhuru kusiwe na sherehe na badala yake wananchi wajukuike kusafisha mitaa na miji.

Je, hili litaendelezwa?

Mwandishi wa BBC Sammy Awami alishuhudia zoezi la kusafisha soko la Kariakoo, Dar es Salaam na kuandaa taarifa hii.