Mawaziri
Huwezi kusikiliza tena

Maoni ya wananchi kuhusu mawaziri wa Magufuli

Baada ya ngoja ngoja ya kipindi cha mwezi mmoja, hatimaye Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza baraza lake la mawaziri.

Na kama ilivyotarajiwa na kwa mujibu wa ahadi zake rais Magufuli ameunganisha wizara nyingi na kubuni wizara 18.

Hata hivyo bado hajafanya uteuzi wa mawaziri katika wizara nne ikiwemo wizara ya fedha. Wananchi wamepokea vipi uteuzi huo?

Mwandishi wa BBC Sammy Awami anasimulia.