Huwezi kusikiliza tena

Vijana wakesha kuwakumbuka Raia Burundi

Wanaharakati wamewakusanya vijana kutoka Burundi, Kenya na nchi nyingine za Afrika Mashariki jijini Nairobi kwa ajili ya mkesha na kuwasha mishumaa kuwakumbuka Raia wa Burundi walioathirika kutokana na mzozo wa kisiasa nchini mwao.

David Wafula alikuwa kwenye Mkesha huo na hii ni Taarifa yake