Raila
Huwezi kusikiliza tena

Odinga ataka walinda amani watumwe Burundi

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametaka kutumwa kikosi maalum cha kulinda amani Nchini Burundi.

Aidha Waziri huyo Mkuu wa zamani ametaka kuwepo na utawala wa mpito, ili kumaliza msuko suko wa kisiasa ambao unaikumba burundi baada ya hatua ya rais Pierre nkurunziza kugombea mhula wa tatu madarakani.

Mwandishi wa BBCAngela Ng’endo amezungumza na Bw Odinga.