Huwezi kusikiliza tena

Wanaharakati waombea amani Burundi

Wanaharakati na Vijana wamekusanyika mjini Nairobi kwa ajili ya mkesha na kuwasha mishumaa kuwakumbuka Raia wa Burundi waliouawa.

Watu 87 waliuawa katika ghasia zilizotokea siku ya Ijumaa mjini Bujumbura.

Sikiliza makala ya David Wafula aliyekuwepo kwenye Mkesha huo.