Vanesa
Huwezi kusikiliza tena

Maana ya Krismasi kwa Vanessa Mdee

Upendo ni ishara kubwa katika sikukuu ya Krismasi ambayo inakutanisha pamoja familia.

Vanessa Mdee, mwanamuziki maarufu wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania anasheherekea sikukuu hii mwaka huu nchini Rwanda akiwa pamoja na familia yake.

Alizungumza na Esther Namuhisa.