Quiz
Huwezi kusikiliza tena

Wayakumbuka matukio makuu Afrika 2015?

Umekuwa mwaka wenye matukio mengi sana Afrika, lakini unaweza kuyakumbuka vyema?

Jaribu kama utaweza kutaja habari 12 kuu bara Afrika mwaka 2015 kupitia chemsha bongo yetu fupi kwa kutazama video hii.

Bofya hapa kufahamu iwapo majibu yako yamekuwa sahihi.