Obama
Huwezi kusikiliza tena

Obama atokwa na machozi akihutubu

Rais Barack Obama alitokwa na machozi jana alipokuwa akitetea kufanyiwa mabadiliko kwa sheria za udhibiti wa silaha nchini Marekani.

Hii ni kutokana na ongezeko la watu kushambuliwa kwa risasi nchini humo.