Hali ilivyo nchini Burundi
Huwezi kusikiliza tena

Tanzania yaishughulikia Burundi

Mawaziri wa mambo ya nje wa Tanzania, Uganda, na Angola wamehitimisha kikao cha faragha kuhusu Burundi katika mji wa Arusha nchini Tanzania.

Kikao hiki kinajiri baada ya mazungumzo ya amani yaliyopangiwa kufanyika mjini humo hapo jana kutibuka baada ya serikali kusema haitakaa meza moja na wale inayowatuhumu kufanya Burundi.

Na ili kujua zaidi kuhusu mkutano huo awali nilizungumza na Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania Agustine Mahiga