Wananchi wa Drc wakiwa mitaani
Huwezi kusikiliza tena

Vyama vyasambaratika Congo

Wakati suala la mjadala wa kitaifa ukizidi kurindima nchini jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,kuelekea uchaguzi wa wabunge pamoja na uraisi mwaka huu,vyama vya kisiasa vinazidi kugawanyika hasa wanachama wa vyama vya upinzani mashariki mwa nchi hiyo ambao wanajiengua na kujiunga na vyama vya mrengo wa serekali.

Ili kujadili hili mwandishi wa BBC, Regina Mziwanda alizungumza na Mwandishi wa BBC eneo hilo BYOBE MALENGA,na kumuuliza juu ya huo Mgawanyiko unatokana na nini hasa ?