Huwezi kusikiliza tena

Uzito wa kupindukia ni tatizo la afya

Uzito wa kupindukia ni tatizo kubwa la kiafya katika maisha ya sasa, hususan wakaazi wa mijini.

Katika nchi nyingi zikiwemo za Afrka mashariki watu walio wengi wanajikuta wakiwa na uzito mkubwa kutokana na mitindo ya maisha, hali inayotajwa kusabaisha matatizo ya kiafya.

Watu wenye uzito mkubwa wamekuwa wakijaribu njia nyingi tofauti za kupunguza uzito, huku baadhi zikielezwa kuwa na madhara kiafya.

Sikiliza makala ya Halima Nyanza