Huwezi kusikiliza tena

Biashara Afrika na China

Takwimu zinaonesha idadi ya bidhaa za Afrika zinazopelekwa China imepungua kwa asilimia 40, mwaka uliopita.

Hii inafuatia kushuka kwa mahitaji ya bidhaa ambayo China inahitaji kutoka Afrika.

Sikiliza ripoti ya Wanyama Chebusiri.