Wakesho
Huwezi kusikiliza tena

Changamoto za mabaharia Kenya

Mabaharia wa Kenya wanapitia wakati mgumu kikazi. Wanataka sana kujiendeleza lakini pingamizi kubwa ni Kenya kotukua na meli zake binafsi, hali ambayo pia inanyima Kenya nafasi nzuri ya biashara.

John Nene ameandamana na nahodha wa kwanza wa meli mwanamke eneo la Afrika Mashariki, Elizabeth Wakesho Marami, kujionea mwenyewe jinsi wanavyofanya kazi baharini, na kuzungumza naye kuhusu swala hilo la Kenya kutokua na meli zake.