Msenegali
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamke avumisha mchezo wa kuteleza baharini

Katika mfululizo wa ripoti kuhusu wanawake katika biashara waliofanya mambo ya kuigwa.

Leo tunamwangazia Yodit Eklund mwanamama kutoka Senegal anayekuza mchezo wa kuteleza kwenye mawimbi kama biashara.