Zika
Huwezi kusikiliza tena

Virusi vya Zika vyahangaisha Brazil

Virusi vya Zika, ambavyo huenezwa na mbu aina ya Aedes aegypti, vinaaminika kusababisha watoto kuzaliwa na vichwa vidogo.

Watoto karibu 4,000 wamezaliwa wakiwa na tatizo hilo Brazil.