bao
Huwezi kusikiliza tena

Mchezaji wa bao azungumza

Nchini Tanzania, Kiswahili kwa kiasi kikubwa kimekuwa kikiwaunganisha watu kabla na hata baada ya uhuru. Lakini kwa kiasi kidogo sana michezo ya jadi kama Bao huzungumziwa katika historia. Mchezo huu huchezwa barani Afrika hasa eneo kubwa la Afrika mashariki, mchezo huu umekuwa maarufu zaidi miongoni mwa watu wazima. Mwandishi wa BBC Sammy Awami amezungumza na mchezaji wa miaka mingi wa mchezo wa Bao, Monday Likwepa.