Huwezi kusikiliza tena

Mchekeshaji Omondi ajizolea mashabiki

Mbinu za Uchekeshaji zimekuwa zikibadilika mara kwa mara na sasa Eric Omondi,msanii wa vichekesho kutoka Kenya amevumbua mbinu mpya ya kubadili mistari ya nyimbo na kupanua hadhira yake. Sasa amegeuka kuwa msanii asiyekuwa na mipaka kwani ameunda uhusiano na mataifa nje ya Kenya na hivyo basi kupata umaarufu Zaidi., mojawapo ya mataifa hayo ni Tanzania. Ingawa mbinu yake ni tofauti na matarajio na hadhira ya Tazania, amewezaje kupata wapenzi nchini humo? Alimueleza mwandishi wetu Abdinoor Aden.