Haba Kazi
Huwezi kusikiliza tena

Haki ya walemavu kupata ajira Tanzania

Sheria ya watu wenye ulemavu ya mwaka 2010 inasema kila mwajiri mwenye wafanyakazi 20 au zaidi asilimia 3 ya wafanyakazi hao wanapaswa kuwa watu wenye ulemavu, sasa kwa namna gani haki ya kupata ajira kwa watu wenye ulemavu inatekelezwa nchini tanzania?