Huwezi kusikiliza tena

Mfahamu mmiliki wa Kampuni ya udobi Uganda

Tunaendelea na Makala yetu ya wanawake wajasiriamali Afrika. Katika Makala yetu ya tano, tunamuangazia mfanyibiashara, Jamila Mayanja kutoka Kampala Uganda. Jamila ni mwanzilishi wa kampuni ya J-mobile Laundry services inayotoa huduma za udobi pamoja na kuwamotisha wanawake nchini humo. Kupitia dobi hiyo, Jamila ametimizaa ndoto yake na ya wanawake wenzake.

Suheba Mohamed anatueleza Zaidi.

Huu ni mfululizo wa makala za wanawake Afrika kutoka BBC unaofadhiliwa na mfuko wa Bill na Melinda Gates.