Huwezi kusikiliza tena

Kahawa ni utamaduni wa Ethiopia

Mkutano wa Umoja wa Afrika huko jijini Addis Ababa Ethiopia umemalizika, lakini maisha ya Waethiopia yenyewe yanaendelea. Mwandishi wa BBC Sammy Awami alikuwa huko akiufuatilia mkutano huo, sasa katika kukaa kwake huko aligundua kuhusu unywaji wa Kahawa ambapo Waethiopia wanauhusudu sana.Hebu fatilia taarifa yake.