AIK
Huwezi kusikiliza tena

Wasioamini Mungu yupo walalamika Kenya

Chama cha watu wasioamini Mungu yupo nchini Kenya kimeeleza kugadhabishwa kwake na hatua ya msajili wa kampuni na mashirika kukataa kusajili chama chao.

Mwanzilishi wa Chama cha watu wasioamini Mungu yupo Kenya (AIK) Bw Harrison Mumia amekuwa katika afisi za BBC, na anaeleza msimamo wa chama chake.