Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Gharama ya kukabiliana na ujangili Tanzania

Huku uchunguzi ukiendelea kuwatafuta wauaji wa rubani mwingereza Roger Gower ukiendelea nchini Tanzania, maswali yanajiri kuhusu usalama wa walinzi wa mbuga wanapokuwa kazini. Barani Afrika walinda mbuga 27 waliuwawa mwaka 2014, asilimia 80 yao wakiuwawa na wawindaji haramu.

Kutoka Arusha mwenzetu Tulanana Bohela anaangazia gharama zilizotokana na vita dhidi ya uwindaji haramu.