Kizza
Huwezi kusikiliza tena

Besigye kituo cha polisi Uganda

Mgombea urais wa chama cha FDC nchini Uganda Kizza Besigye alizuiliwa katika kituo cha polisi cha Kira Road, Kampala baada ya kukamatwa.

Ameachiliwa huru baada ya kuzuiliwa kwa takriban saa mbili.