Elizabeth Atieno
Huwezi kusikiliza tena

Mwathiriwa wa ubakaji Kenya asimulia madhila

Bi Elizabeth Atieno ni mmoja wa waliobakwa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi wa mwaka 2007 nchini Kenya.

Amezungumza na mwandishi wa BBC David Wafula na kusimulia changamoto ambazo amepitia tangu wakati huo na jinsi amefanikiwa kuendelea na maisha yake.