Vijana
Huwezi kusikiliza tena

Vijana wanatarajia nini uchaguzini Uganda?

Vijana nchini Uganda, baadhi ambao hawajamfahamu rais mwingine ila Yoweri Museveni, wanajiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu Alhamisi. Wanatarajia nini?

Walizungumza na mwandishi wa BBC Tulanana Bohela.