uchaguzi
Huwezi kusikiliza tena

Uchaguzi Uganda waathiri biashara mpakani

Wafanyabiashara wanaohudumu katika mji ulio mpakani mwa Kenya na Uganda wanasema uchaguzi mkuu unaofanyika tarehe 18 Februari umeathiri sana biashara.

Mwandishi wa BBC Peter Njoroge alizungumza na baadhi yao.