Besigye
Huwezi kusikiliza tena

Hali ya wasiwasi Kampala matokeo yakisubiriwa

Hali ya wasiwasi imetanda mjini Kampala hasa baada ya polisi kumkamata na kumzuilia mgombea wa urais wa chama cha FDC Dkt Kizza Besigye huku matokeo ya uchaguzi wa urais yakiendelea kutangazwa.

Polisi wameendelea kushika doria katika maeneo mengi ya mji mkuu.

Mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus anaarifu zaidi.