Besigye
Huwezi kusikiliza tena

Mtazamo wa Kizza Besigye kuhusu uchaguzi

Mgombea urais wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) Kiiza Besigye amekuwa akiwania urais dhidi ya Rais Yoweri Museveni kwa mara ya nne.

Kabla ya uchaguzi, alizungumza na mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus kuhusu matumaini yake.